Lewis Hamilton amefanikiwa kumpita Nico Rosberg kwenye points mwaka huu kwa kushinda Hungary Grand Prix...Hamilton alianza wa 2 kwenye grid lakini aliweza kukata kona ya kwanza mbele ya Rosberg na baada ya hapo aliongoza mpaka mwisho...
Ingawa kuna wakati gari yake ilikuwa inapunguza mwendo kutokana na matairi kuisha lakini alifanikiwa kuingia kwenye pit lane akiwa na muda wakochomoka na kumalizia shindano...
0 Yorumlar